Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

New Video: D’Banj -- ‘Extraordinary’

ddd 
D’Banj ameachia video ya nyimbo zake mbili kwa wakati mmoja akiwa Washington DC Marekani ambako amefanya show ya kuzindua Kampeni ya kupambana na umaskini.
Kwenye video hiyo wako mastaa wengine kama Will.I.am, Common, Usher, Chris Martin na Fally Ipupa.
Global-Citizen-2015-Earth-Day-April-2015-BellaNaija0021
D’Banj amesema  wimbo wake mpya waExtraordinary’ ameutoa kwa ajili kampeni ya kupambana na umaskini.
Nakukaribisha hapa kuitazama video yake…

Yorum Gönder

0 Yorumlar